Friday 5 September 2014

Crazy Responses From Kenyan Matatu Conductors

No comments
1.An elderly woman complains about
the music ‘Wekeni nyimbo za yesu’
Conda:Mathee,yesu bado hajatoa album

2.Pass:kuna kiti?
Conda:Hao wengine wamekalia ndoo?

3.Pass:Kuna kiti ama ni zile uongo zenu
Conda:Hehe kama ulikua unaogopa kukosa kiti si ungebeba yako.

4.Pass:Bwana hii gari ina joto sana!
Conda:Basi shuka upande fridge.

5.Conda:Madam,kuna seats pale nyuma.
pass:Cwezi kaa seats za nyuma.Nataka mbele.
Conda:Kwani za nyuma ziko nje ya gari? Basi wacha dere ashuke ukae mbele.

6.Pass:Tao ngapi
Conda:Mbao
Pass:Nko na ashuu
Conda: Iyo nunua avocado ujipake rasa uteleze mpaka tao.

7.Girl: Ongeza volume tuskie Mwalimu King’ang’i!
Konda: Ungeskiza Mwalimu wa shule ungekua na gari yako si kutusumbua hapa na King’ang’i

No comments :